Psalms 18:11-13


11 aAlifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika,
hema lake kumzunguka,
mawingu meusi ya mvua ya angani.

12 bKutokana na mwanga wa uwepo wake
mawingu yalisogea,
ikanyesha mvua ya mawe
na umeme wa radi.

13 c Bwana alinguruma kutoka mbinguni,
sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
Copyright information for SwhKC